Ufafanuzi wa mandharimbele katika Kiswahili

mandharimbele

nominoPlural mandharimbele

  • 1

    sehemu karibu na watazamaji au hadhira.

  • 2

    mwonekano wa sehemu ya mbele ya kitu kilichopigwa picha au kuchorwa.

Matamshi

mandharimbele

/manðarimbɛlɛ/