Ufafanuzi wa manena katika Kiswahili

manena

nominoPlural manena

  • 1

    sehemu katika mwili wa binadamu iliyoko baina ya tumbo na mapaja.

Matamshi

manena

/manɛna/