Ufafanuzi wa maneva katika Kiswahili

maneva

nomino

  • 1

    luteka
    and → manuva

  • 2

    mazoezi ya wacheza ngoma yanayochezwa nje ya mji.

Asili

Kng

Matamshi

maneva

/manɛva/