Ufafanuzi wa manganja katika Kiswahili

manganja

nominoPlural manganja

  • 1

    ngoma inayochezwa na Wamanganja, Wanyanja na Wayao.

Matamshi

manganja

/manganʄa/