Ufafanuzi wa mangimeza katika Kiswahili

mangimeza

nominoPlural mangimeza

  • 1

    ofisa wa serikali anayefanya kazi kwa kufuata kanuni bila kuwashirikisha wafanyakazi wengine.

Matamshi

mangimeza

/mangimɛza/