Ufafanuzi wa manifesto katika Kiswahili

manifesto

nomino

  • 1

    azimio la chama fulani lenye kueleza msimamo wa chama kuhusu hali fulani.

    ilani

Asili

Kng

Matamshi

manifesto

/manifɛstɔ/