Ufafanuzi wa manjano katika Kiswahili

manjano, njano

nomino

  • 1

    rangi kama ya ganda la ndimu au limau lililoiva.

  • 2

    mzizi fulani wenye rangi kama ya limau ambao ukisagwa huwa ni dawa au kiungo cha mchuzi.

Matamshi

manjano

/manʄanɔ/