Ufafanuzi wa manju katika Kiswahili

manju

nomino

  • 1

    stadi wa kutunga na kuimba nyimbo katika ngoma.

Matamshi

manju

/manʄu/