Ufafanuzi wa mantiki katika Kiswahili

mantiki

nomino

  • 1

    mtiririko wa fikira zilizopangwa ili kujenga hoja yenye kukubalika.

Matamshi

mantiki

/mantiki/