Ufafanuzi wa manyata katika Kiswahili

manyata

nominoPlural manyata

  • 1

    mkusanyiko wa nyumba, agh. zilizokandikwa kwa mavi ya ng’ombe na tope, zinazojengwa mbugani na makabila yanayohamahama k.v. Wamasai au Wasomali na huwa zinazungushiwa nyua.

Matamshi

manyata

/maɲata/