Ufafanuzi wa manza katika Kiswahili

manza

nominoPlural manza

  • 1

    tendo au jambo lililo kinyume na kanuni; makosa.

  • 2

    hali ya kutoafikiana.

Matamshi

manza

/manza/