Ufafanuzi wa maokozi katika Kiswahili

maokozi

nominoPlural maokozi

  • 1

    tendo la kutoa katika hatari.

  • 2

    namna ya kutoa katika hatari.

    uokoaji

Matamshi

maokozi

/maɔkɔzi/