Ufafanuzi wa maono katika Kiswahili

maono

nomino

  • 1

    picha ya mambo au vitu inayomjia mtu akilini mwake.

    taswira

Matamshi

maono

/maɔnɔ/