Ufafanuzi wa maotea katika Kiswahili

maotea

nomino

  • 1

    mmea ulioota kwa mbegu ambayo haikupandwa kwa kukusudia.

    tarare, mbulia

Matamshi

maotea

/maɔtɛja/