Ufafanuzi wa mapambano katika Kiswahili

mapambano

nomino

  • 1

    makabiliano baina ya pande mbili au zaidi katika mashindano, vita au fikira.

    harakati

Matamshi

mapambano

/mapambanÉ”/