Ufafanuzi wa mapambazuko katika Kiswahili

mapambazuko, pambazuko

nomino

  • 1

    wakati wa jua kuchomoza.

    asubuhi, alfajiri, macheo