Ufafanuzi wa mapepeta katika Kiswahili

mapepeta

nominoPlural mapepeta

  • 1

    makapi ya nafaka yanayotoka baada ya kuzipeta.

    wishwa

Matamshi

mapepeta

/mapɛpɛta/