Ufafanuzi wa mapiku katika Kiswahili

mapiku

nomino

  • 1

    mchezo wa karata unaochezwa kwa karata kuvunjana au kushindana nguvu.

Matamshi

mapiku

/mapiku/