Ufafanuzi wa mapinduzi katika Kiswahili

mapinduzi

nominoPlural mapinduzi

  • 1

    uondoaji madarakani viongozi wa serikali, hususan kwa kutumia nguvu.

    thaura

  • 2

    mabadiliko ya haraka ya mbinu au hali, k.v. katika kilimo, elimu, n.k..

Matamshi

mapinduzi

/mapinduzi/