Ufafanuzi wa mapitio katika Kiswahili

mapitio

nominoPlural mapitio

  • 1

    makala yanayoeleza mawazo ya mtu juu ya kitabu au maandishi fulani aliyoyasoma.

Matamshi

mapitio

/mapitijɔ/