Ufafanuzi wa mapumziko katika Kiswahili

mapumziko

nominoPlural mapumziko

  • 1

    muda wa kupumzika baada ya kazi au safari.

  • 2

    mahali pa kupumzikia.

Matamshi

mapumziko

/mapumzikɔ/