Ufafanuzi wa marahaba katika Kiswahili

marahaba

kielezi

  • 1

    kiitikio cha salamu iliyotolewa kwa neno ‘shikamoo'.

  • 2

    tamko la kukubaliana na maelezo yaliyotolewa.

    kweli, sadakta

Asili

Kar

Matamshi

marahaba

/marahaba/