Ufafanuzi wa marashi katika Kiswahili

marashi

nominoPlural marashi

  • 1

    maji yanayonukia yaliyochanganywa pamoja na mawaridi na uturi mwingine.

  • 2

    manukato, ariki

Asili

Kar

Matamshi

marashi

/mara∫i/