Ufafanuzi wa marathoni katika Kiswahili

marathoni

nominoPlural marathoni

  • 1

    mbio ndefu, agh. za nyikani za kilomita 25 au zaidi.

Asili

Kng

Matamshi

marathoni

/maraθɔni/