Definition of marehemu in Swahili

marehemu

noun

  • 1

    neno linalotajwa kabla ya jina la mtu aliyefariki kwa kumwombea rehema ya Mwenyezi Mungu.

  • 2

    mtu aliyefariki.

    hayati, mwendazake

Pronunciation

marehemu

/marɛhɛmu/