Ufafanuzi wa marejea katika Kiswahili

marejea

nominoPlural marejea

  • 1

    mimea ioteshwayo shambani kwa madhumuni ya kuua magugu na kurutubisha ardhi.

Matamshi

marejea

/marɛʄɛja/