Ufafanuzi wa marekani katika Kiswahili

marekani

nominoPlural marekani

  • 1

    kitambaa kizito cha pamba chenye rangi ya maziwa ambacho ni duni kikilinganishwa na vitambaa vingine vya aina hiyo.

    gamti

Matamshi

marekani

/marɛkani/