Ufafanuzi msingi wa maridadi katika Kiswahili

: maridadi1maridadi2

maridadi1

kivumishi

 • 1

  -safi na -liojipamba.

 • 2

  -enye kupendeza macho.

  mufti

Matamshi

maridadi

/maridadi/

Ufafanuzi msingi wa maridadi katika Kiswahili

: maridadi1maridadi2

maridadi2

nominoPlural maridadi

 • 1

  usafi, hasa wa mavazi.

Asili

Kar

Matamshi

maridadi

/maridadi/