Ufafanuzi wa maridhia katika Kiswahili

maridhia

nomino

  • 1

    mtu mwenye tabia nzuri na asiye na ukaidi; mtu mwenye kuridhia.

Asili

Kar

Matamshi

maridhia

/mariĆ°ija/