Ufafanuzi wa marimba katika Kiswahili

marimba

nominoPlural marimba

  • 1

    chombo cha muziki chenye umbo la sanduku, kilichotengenezwa kwa mbao na kutandikwa vibao vyembamba vinavyotoa sauti mbalimbali vinapogongwa kwa virungu viwili.

  • 2

    chombo cha muziki kilichotengenezwa kwa mbao chenye vyuma vyembamba vinavyotoa sauti mbalimbali vinapopigwa kwa vidole vijiti.

Matamshi

marimba

/marimba/