Ufafanuzi wa marufaa katika Kiswahili

marufaa

nominoPlural marufaa

  • 1

    kitu kinachofanana na mbuzi ya kukunia nazi lakini kisicho na chembe na hutumiwa kuwekea vitabu wakati wa kusoma.

Matamshi

marufaa

/marufa:/