Ufafanuzi wa marugurugu katika Kiswahili

marugurugu

nominoPlural marugurugu

  • 1

    uvimbe unaotokea mwilini kutokana na kujikuna baada ya kuumwa na mdudu.

Matamshi

marugurugu

/marugurugu/