Ufafanuzi wa marumaru katika Kiswahili

marumaru, marmar

nominoPlural marumaru

  • 1

    jiwe linalong’ara vizuri ambalo hutumika kama pambo la kuta za nyumba na sakafu.

Asili

Kar

Matamshi

marumaru

/marumaru/