Ufafanuzi wa marumvirumvi katika Kiswahili

marumvirumvi

nominoPlural marumvirumvi

  • 1

    uvimbe unaotokana na kuumwa na mdudu mwenye sumu ama kutambawa na kiwavi au kuguswa na majani yanayowasha.

Matamshi

marumvirumvi

/marumvirumvi/