Ufafanuzi wa marupurupu katika Kiswahili

marupurupu

nomino

  • 1

    malipo anayopata mtu zaidi ya mshahara wake wa kawaida.

Matamshi

marupurupu

/marupurupu/