Ufafanuzi wa masango katika Kiswahili

masango

nomino

  • 1

    waya mnene wa shaba unaotumika kutengeneza mapambo k.v. pete, bangili au mikufu.

Matamshi

masango

/masangÉ”/