Ufafanuzi wa mashallah! katika Kiswahili

mashallah!

kiingizi

  • 1

    tamko la furaha la kumuombea mtu baraka au mema kwa kitu ulichokiona au kukisikia kutoka kwake.

Matamshi

mashallah!

/ma∫allah/