Ufafanuzi wa mashamshamu katika Kiswahili

mashamshamu

nomino

  • 1

    hali ya kuwa katika hekaheka.

    hanjamu

Asili

Kar

Matamshi

mashamshamu

/ma∫am∫amu/