Ufafanuzi wa Mashariki ya Mbali katika Kiswahili

Mashariki ya Mbali

nominoPlural Mashariki ya Mbali

  • 1

    nchi za Asia ya Mashariki k.v. Uchina au Japani.

Asili

Kar

Matamshi

Mashariki ya Mbali

/ma∫ariki ja mbali/