Ufafanuzi wa mashine katika Kiswahili

mashine, mashini

nomino

  • 1

    chombo chochote chenye kutoa nguvu ya kuendesha k.v. kinu, gari au treni.

    mtambo

  • 2

    kifaa chochote kinachosaidia kurahisisha kazi k.v. kifaa cha kunyolea ndevu, kufyatulia matofali, n.k..

Asili

Kng