Ufafanuzi wa mashtaka katika Kiswahili

mashtaka

nominoPlural mashtaka

  • 1

    madai au malalamiko ambayo mtu anayatoa dhidi ya mtu mwingine.

    daawa, kesi

Matamshi

mashtaka

/ma∫taka/