Ufafanuzi wa mashudu katika Kiswahili

mashudu

nominoPlural mashudu

  • 1

    machicha ya ufuta au pamba yanayobaki baada ya mafuta kusindikwa na kukamuliwa.

    shata, mashata, mashapo

Asili

Kar

Matamshi

mashudu

/ma∫udu/