Ufafanuzi wa mashumshumu katika Kiswahili

mashumshumu

nominoPlural mashumshumu

  • 1

    matokeo mabaya yanayomrudia mtu na ambayo aliyakusudia yamfike mtu mwingine.

Asili

Kar

Matamshi

mashumshumu

/ma∫um∫umu/