Ufafanuzi wa masiala katika Kiswahili

masiala

nomino

  • 1

    mambo au habari inayotakiwa kuelezwa au kufafanuliwa.

  • 2

    matatizo ya kisheria.

Matamshi

masiala

/masijala/