Ufafanuzi wa masilahi katika Kiswahili

masilahi

nominoPlural masilahi

  • 1

    manufaa au faida aipatayo mtu baada ya kufanya biashara, kazi au kumaliza tendo lolote.

Matamshi

masilahi

/masilahi/