Ufafanuzi wa masimbi katika Kiswahili

masimbi

nominoPlural masimbi

  • 1

    mabaki ya pombe baada ya kuchujwa au kutuama.

    mashata, mashapo, masira, shata

Matamshi

masimbi

/masimbi/