Ufafanuzi wa masizi katika Kiswahili

masizi

nominoPlural masizi

  • 1

    unga mweusi wa makaa au moshi ambao agh. hupatikana kwenye sufuria au chungu cha kupikia au ukutani karibu na jiko.

Matamshi

masizi

/masizi/