Ufafanuzi wa masjala katika Kiswahili

masjala

nominoPlural masjala

  • 1

    kitengo au sehemu ya idara, wizara au shirika ambayo inashughulika na kuhifadhi faili, upokeaji na upelekaji wa barua.

Asili

Kar

Matamshi

masjala

/masʄala/