Ufafanuzi wa maskani katika Kiswahili

maskani

nominoPlural maskani

  • 1

    mahali anapoishi mtu.

    mastakimu, makao, auta, makazi, manzili, kitende

Asili

Kar

Matamshi

maskani

/maskani/