Ufafanuzi wa masumbuko katika Kiswahili

masumbuko

nominoPlural masumbuko

  • 1

    hali ya tabu na mashaka, hali ya kutokuwa na utulivu katika maisha.

  • 2

    mahangaiko.

    shakawa

Matamshi

masumbuko

/masumbukɔ/